Bismillah Al-Rehman Al-Raheem
Anti Ahmadiyya Movement in Islam

ALFATWA YA KIMATAIFA NA. 5

MWASISI NA MHARIRI MKUU SYED ABDUL HAFEEZ SHAH.
MHARIRI MSAIDIZI: SYED RASHID ALI

JIHADHARI NA UFISADI WA HARAKATI ZA MAKADIANI/AHMADIYYA DHIDI YA UISLAM

WAPINZANI WA HARAKATI ZA AHMADIYYA KATIKA UISLAM
Bait–ul–Mukarram Trust (Sindh, Pakstan)

April 1984 mnamo miaka 12 iliyopita, Mirza Tahir Ahmadiya Qadian, kiongozi wa harakati za Ahmadiya na mrithi wa 4 wa Mirza Ghulam Ahmad Qadian alitoroka toka Pakistan mnamo August 1995, Mirza Tahir Ahmad akinukuu moja katika biashara zisizo dhahiri za babu yake “BAADA YA MIAKA KUMI NA MOJA” alisema kwamba amemaliza miaka 15 ya uhamiaji (kutoroka) toka Pakistan (kutoka nchi ya kiislamu kwenda nchi isiyo ya kiislamu!) ukiunganisha biashara hii na wakati ambapo alikuwa hayupo Pakistani, alisema “SASA KURUDI KWANGU PAKISTAN NI KWA UHAKIKA”. Baada ya kusikia madai haya marefu chama cha wapinzani wa harakati za Ahmadiya kilitoa changamoto kwa Mirza Tahir Ahmad katika Al-Fatwa No.11 ya August 1995 kwamba kama bishara hii itatekelezwa na Mirza Tahir Ahmad kurudi Pakistan kabla ya April 1996 k.m baada ya miaka 11 na siyo miaka

Miaka 12 ni kwamba tutamkubali na muanzilishi wake kuwa mkweli. Tumefikia mwisho lakini hakuna mwisho wa uhamisho wa kujitakia wa Mirza Tahir.

Ah! Bishara nyingine ya Mirza Ghulam Ahmad Qadian imegeuka kuwa mwongo na ndoto ya Mirza Tahir ya kurudi Pakistan inabaki haijakarishwa.
 

VIKARAGOSI NA WA-AHMADIYA

Kueleza hisia na fikra za mtu kwa kuchora picha au kutoa hisia za kisanii katika ushairi au nathari mara nyingi ina mvuto na inawasilisha ujumbe katika njia yenye kueleweka zaidi. Chama cha wapinzani wa harakati za Ahmadiya kimekuwa kikisawiri au kikifafanua vipengele vingi katika maisha ya Mirza Ghulam kwa kutumia namna hii ya kujieleza na maandishi yake yeye mwenyewe kama msingi wa kujieleza. Badala ya kujaribu kuelewa ile dhihaka au tashititi (katika maandishi) na ule ujumbe unaokusudiwa rafiki zetu wa ki-Kadiani na ki-Ahmadi wanaonyesha hasira na chuki katika fikra za kisanii katika maisha ya Mirza. Sifa zote zinamshitaki Allah, mpweke na rehema na amani zimwendee kipenzi chetu Seyyidina Muhammad Mtume wa mwisho ambaye baada ya yeye hatofuatwa na mwingine na sala na salamu ziwaendee familia yake na swahiba zake.
Wengine kati yao wameiita kama Ushetani au Uibilisi na hali ya uonevu na ukatili wakati wengine wameichukulia kama kutokupevuka au kutokukomaa kwa akili na ushahidi wa kizazi kilicho kinyume cha sheria.

Mirza Tahir Ahmad alipokuwa akizungumza mwaka 1994 siku ya Jalsa Salama huko London, alikasirika kwa kumwiita majina mbalimbali kama BAD BARHT, KHABEES na MANHOOS. Hawajui kuwa Mirza Ghulam yeye mwenyewe amekuwa akitumia njia hiyo ya masimulizi kumkashifu na kumbeza mwongo mwingine aliyedai utume toka Marekani katika wakati wake aitwaye Dr. Alexander Dowie.

Kwa mtazamo wa Kiislamu wasomaji wanakumbushwa kwamba, Mirza Ghulam Ahmad Qadian, muasisi wa harakati za Ahmadiya hakuwa mtume wa kweli katika dai la utume, umasihi, na amewakashifu mitume, Syed na Muhammad, Syed Issa na wengine (rehema na amani juu yao) kwa hivyo yeye ni muasi na yuko nje ya uislamu(si muislamu).

Miaka mia moja iliyopita Mirza Ghulam alifikiri kuwa ni haki kumdharau mtu ambaye alimwona kuwa mtume wa uongo akimfanyiza katuni na kumtangaza sana kwa njia za katuni. Kinyume chake leo hii yeye ndiye anayepokea kashfa hizo. Bila ya shaka uwezo wa Allah unafanya kazi polepole (ujumbe wa Mirza hufifia polepole) na vile vile juhudi za dini husagwa kidogo kidogo.

MIRZA DHIDI YA DOWIE:

HUDUMA KUBWA ILIYOFANYIWA UZAIYUNI.

Baada ya utukufu wa Maka na Madina, Palestina (au Jerusalem) ni sehemu nyingine tukufu ambayo ni tukufu zaidi kwa waislamu.

Bali, katika kipindi kati ya mwaka 1099 hadi 1187 AD katika enzi za Hazrat Umar (R.A) pindi mayahudi walipomkabidhi funguo za mji wa Jerusalem bila umwagaji wa damu, Palestina imekuwa sehemu ya dola ya Kiislamu. Mayahudi na wakristo daima wametaka kuipora toka kwa waislamu

Mwisho wa karne ya 19 harakati nyingi za mayahudi kitaifa zilikuwa na nguvu huko Ulaya na Marekani. Mnamo tarehe 29 August 1897 hukoBasle Uswisi mkutano wa kizayuni wa kimataifa ulithibitisha pendekezo la Theodore Herzel, mhamasishaji mtendaji myahudi toka Australia kuanzisha serikali ya kizayuni nchini Palestina. Kuanzia siku hiyo ilikuwa madhumuni ya harakati za kiyahudi kitaifa yalikuwa kustawisha serikali ya kizayuni kwa gharama yewyote nchini Palestina.

Wakati ule waislamu waliungana chini ya Dola ya Ottoman chini ya Sultan Abdul Hameed kama Khalifa. Kati ya 1902-3, Theodore Herzel alikutana na Abdul Hameed mara tatu. Alijaribu kumshauri Khalifa kuiuza Palestina kwa wayahudi lakini hakufanikiwa. Herzel alitambua kuwa maadamu Sultan Abdul Hameed alikuwa madarakani na waislamu walikuwa chini ya himaya ya Ottoman ndoto ya kustawisha chini ya kizayuni Palestina haitokuwa kweli.

Kwa upande huu mayahudi na waingeleza walijenga ushirikiano kwa manufaa yao. Waingeleza walitaka kusambaratisha ukhalifa wa Ottoman na hatimaye mshikamano wa kiislamu, na mayahudi walitaka kuanzisha makazi yao Palestina,ambayo ilikuwa sehemu ya Dola ya kiislamu. Ilikuwa nafasi pekee ya kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Kazi iliyofanywa na Mirza Ghulam katika kuiangusha ukhalifa wa Ottoman ni hadithi nyingine ambayo itasimuliwa baadae, In Shaa Allahu.

Kwa upande mwingine mwaka 1892 Dr. Alexander Dowie alianzisha dini mpya huko Marekani. Alianzisha mji unaoitwa Zayuni. Akaanza kuwahamasisha mayahudi humo. Mwaka 1899 alidai utume akisema kwamba kutokana na utume wa mtume Malachi katika Agano la kale, yeye ni Ilyas ambaye atawakomboa wayahudi na kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu kinyume cha mpango wa kuanzisha makazi Palestina, alikuwa na sababu zake za kuwahamasisha wayahudi Zayuni (uyahudi) au Israil.

Hatimaye jumuia mbali mbali za kiyahudi zilijenga uadui naye. Kwa mara nyingine tena umoja wa Waingereza na Wayahudi waliamua kufanya udaganyifu. Walimfadhaisha

Dr. Dowie kiakili na kusambaratisha makazi yake Zayuni (Israil) Waingereza waliamua kutumia (mche wao walioupanda wenyewe) uitwao Mtume wa Kadiani.

Mirza Ghulam Ahmad alianza kuwasiliana naye kwa barua ambapo alimwita muongo na Imani za ukristu kama za udaganyifu. Lengo la kurudiaridia matusi au fedheha hizi ilikuwa ni kumkasirisha Dr. Dowie na kutibua amani na utulivu wake wa kiakili. Mirza alifaulu sana katika jambo hili. Marudio ya matusi yake yalimchochea Dr. Dowie kutoa kauli za kashfa kuhusu uislam na maneno ya kushusha hadhi ya Mtume Mtakatifu (Rehema na amani ziwe juu yake).
 

Kuna mpumbavu mmoja (au mtu mmoja aliyechanganyikiwa) kutoka India aitwaye Mohammed Messiah anayeniandikia mara kwa mara kwamba kaburi la Yesu kristo liko Kashmir watu wananiuliza kwa nini sijibu jambo hili, kwa nini simjibu mtu huyu? Kitu gani mnafikiri nitakijibu kwa nzi au mbu? Kama nitaweka mguu wangu kwao nitawaangamiza mpaka wafe. (kauli ya Dowie katika Haqiqatul Wahi, Roohani Khazain Juzuu ya 22 uk. 509)
“ Namuomba Mungu kwamba karibu siku inapambazuka wakati uislamu unatoweka toka Duniani. Amina. Ee Mola nakuomba uuteketeze uislamu” (Roohani Khazain Juzuu ya 22, uk. 505 )

“Yabidi ifahamike kwamba huyu mtu (Dowie) alikuwa adui mkubwa wa uislamu na mbali ya haya alileta dai la uongo la utume na alimwona Hadhrat Muhammad Mustafa (rehema na amani ziwe juu yake ) kuwa ni muongo na mzushi na kutokana na tabia yake alianza kumkumbuka kwa lugha chafu……….. alikuwa adui mkubwa wa mtume wetu (rehema na amani ziwe juu yake). Nilikuwa ninapata gazeti lake. Habari za kusikitisha na mara nyingi nilikuwa nikipata taarifa juu ya ulimi wake mchafu wakati kebehi na matusi yake yalipofikia kikomo, nilimpelekea barua kumuomba kufanya APIZO au MABAHILA ili Mungu amuue huyo muongo kati yetu sisi katika maisha ya ulimwengu huu wa ukweli. Ombi hili lilipelekwa kwake mara mbili katika mwaka 1903 na pia lilichapishwa katika magazeti maarufu Marekani.( haqeeqat-ul-wahi, Roohani Khazain. Uk.505)

Kwa msaada wa kikundi cha mayahudi taarifa za changamoto hizi zilichapishwa takribani katika magazeti yote ya Ulaya na Amerika, na katika haya magazeti 32 yalichapishwa na Mirza Ghulam katika Haqeeqat-ul-wahi uk.506-508.
“Niliandika katika (Mubahila huu) kwamba Dr. Dowie katika dai lake la utume na katika imani yake ya utatu ni mwongo. Kama anafanya (kiapo) hiki na mimi atakufa wakati wa uhai wangu, atakufa kwa mateso na majuto makubwa na hata kama hatafanya kiapo (mubahila) bado hataikwepa ghadhabu ya Mwenyezi Mungu” (Haqeeqatul-wahi, Roohani Khazain, Juzuu ya 22 uk. 505.)
Ingawa Mirza ametoa changamoto alichelea umri wake mkubwa. Aliandika:
“ Ninakaribia miaka 70 na Dowie kama anavyosema ni kijana wa miaka 50, lakini juu ya umri wangu mkubwa sikujali………na hata kama Dowie atatoroka mubahila huu……nasema ukweli kwamba karibu msiba mkubwa utaipata uyahudi (Zayuni) au Uyahudi.(Haqeeqatul-wahi, Roohani Khazain, Juzuu ya 22 uk.506)
(Mtu anaweza kushangaa kama kweli Mirza ana taarifa za ndani za mipango ya mayahudi.)
“Mateso yaliandama kila kipengele cha maisha yake. Aligundulika kuwa mdaganyifu……..aligeuka kuwa mlevi….kwa masikitiko makubwa alitolewa kutoka sehemu aliyokuwa anaishi nchini Israel ……aliporwa rupia zake milioni saba na mke wake na mwanae wakawa maadui zake na baba yake akatangaza kuwa yeye(Dowie) hakuwa mtoto wa halali………..kila aina ya udhalilishaji na ufedheheshaji aliupata na hatimaye akapata kiharusi (akapooza). Baadae kutokana na mkusanyiko wa mateso mengi alipata uenda wazimu………. Na hatimaye katika juma la kwanza la mwezi wa machi mwaka 1907 alikufa kwa majonzi, maumivu na majonzi makubwa” (Haqeeqatul-wahi, Roohani Khazain, Juzuu ya 22 uk. 512).
Mwisho kama huo wa mpinzani wake ulikuwa mshituko mzuri kwa Mirza pia:
“Mnamo February 9, 1907 nilipata zinduko: “Utatawala” kisha tarehe hiyo hiyo nilipata zinduko hili: Utapata alama nyingine ya furaha ambayo itakupa ushindi mkubwa! ……… Dowie alikufa kwa haraka sana baada ya bishara hii kiasi kwamba ni baada ya kupita siku 15 baada ya kutangazwa bishara hii, ndipo Dowie alikufa.”(Haqeeqatul-wahi, Roohani Khazain, Juzuu ya 22 uk. 510-511)


Michoro hii ya vikaragosi ilichorwa na Mirza katika Haqeeqatul Wahi.
“Kwa kazi yangu kubwa ni kuvunja msalaba, kwa hiyo kwa kifo chake sehemu kubwa ya msalaba imevunjika …………Hivyo Mungu ndiye aliyemuua kwa kutumia mikono yangu.Najua kuwa bishara ya kumuua nguruwe imesababishwa na kifo chake. Na hiyo imetmia. Kwa kuwa nani awezaye kuwa hatari zaidi kumshinda yule aliyeleta dai la utume na kama nguruwe aliyekula kinyesi cha uwongo…….Kwa hivyo naapa kwamba yeye kwa nguruwe yule yule ambaye kifo chake kilisimuliwa na Mtume Mtakatifu kwamba atakufa katika mikono ya masihi aliyeahidiwa.” (Haqeeqatul-wahi, Roohani Khazain, Juzuu ya 22 uk. 513)

SHEREHE ZA KIFO CHA DOWIE

“Khan Sahib Abdul Hameed alimuandikia Mirza ampe kibali cha kusherehekea alama kubwa ya Dowie. Hazrat sb (Mirza) alitoa kibali hicho na alisema kusherehekea huko kunaruhusiwa ili kuutangaza mbaraka au “Majaliwa.” (Roohani Khazain, Malfoozat, Juzuu 9, uk. 283)
TANGAZO LA MAFANIKIO AU ONYESHO LA MAJIVUNO.

Baada ya kifo cha Dowie, Mirza Ghulam alitangaza vikaragosi viwili (picha za Dr. Dowie zilizokuzwa mno kuliko kawaida yake kwa nia ya kuchekesha) zikisawiri au kufafanua maisha yake kabla ya ugonjwa wake na hali yake ilivyokuwa mbaya kabla ya kushindwa kwake katika kitabu chake kiitwacho Haqeeqat-ul-wahi. Inafurahisha kuona kwamba pamoja na picha hizi mbili, (Mirza) alibandika picha yake mwenyewe , pengine kuwavutia watu kwa sura zake. Hakuelewa kuwa kutatokea siku moja mtu atamuonyesha mwisho wake wa kuhuzunisha utokanao na ugonjwa wa kipindupindu. Siku hiyo itakuja karibuni. Inshallah.

SWALI LETU

Nawauliza Makadiani na Wa Ahmadiya wote kuwa: kama kuchora kwetu karagosi, picha au sanamu ni kitendo cha dharau na unyonge na ushahidi wa upungufu wa akili na wanaharamu, je vitendo vinavyofanana na hivyo vikifanywa na Mirza Ghulam, huyo aitwaye mtume, masihi, Mahdi vinathibitisha nini?

UKURASA WA UWANJA WA WEB WA WAPINZANI WA AHMADIYYA

Mwezi wa Julai 1995 rafiki yetu toka Uswidi alitufahamisha uongo ambao jumuiya ya Ahmadiya inaufanya katika jina la uislamu kupitia Internet. Kwa rehema za Allah, (S.W) tumeweza kuweka ukurasa wa nyumbani wa wapinzani wa harakati za Ahmadiya kuwajuvya watu ukweli wao na uongo wa itikadi zao chini ya kisingizio cha uislamu. Wateja wa internet wanaweza kukagua eneo letu kufuata URLs.
http://alhafeez.org/rashid/

Dr. Syed Rashid Ali

P O box 11560
Dibba, Al-Fujairah
United Arab Emirates
rasyed@emirates.net.ae
Swahili Page