Bismillah Al-Rehman Al-Raheem
Anti Ahmadiyya Movement in Islam

ALFATWA YA KIMATAIFA Na 4

Mwasisi na mhariri Mkuu Syed Abdul Hafeez Shah

Mhariri Msaidizi: Syed Rashidi Ali
Decemba 1993 Rajab 1416AH

JIHADAHRI na UFISADI wa AHMADIYYA/MAKADIANI na
HARAKARI ZAO DHIDI YA UISLAM

KUUKWEPA MJI WA RABWA

Kwa jina Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema, Mwenye huruma. Upendo wake na Baraka mzake ziwe juu ya Seyidina Muhamm ambaye baada yake hakuna mtume mwingine pia baraka ziwaendee familia yake na umati wake. Kiongozi wa Makadiani hivi karibuni alitangaza kwenye mkusanyiko wa mwaka wa Makadiani huko U.K. Kwamba WAISLAM 800,000 warneritadi kuwa Ahmadiyya na kuchukua Baiat (Kiapo cha utii) kwa mirza kadiani baada ya mwanzo wa mirza Ghulam na wafuasi wake waliokuwa wakicheza na namba inaeleweka wazi kwamba aliposhindwa kukamilisha kuandika vitabu hamsini (50) aliandika muhtasari wa kila kitabu cha 5 ambapo ni tofauti kati ya 5 na 50 ambayo ni karibu na SIFURI kwa hiyo ahadi yake ilitimizwa mapema 1900 mirza alidai kwamba kuna makadiani 300,000 na katika sensa ya 1930 ya watawala wa kiingereza ilionyesha jumla yamakadiani kuongezeka toka 50,000 hadi 60,000 kote India! Kuongezeka kwa SIFURI siyo tatizo kubwa kwao. Nukta nyingine ya muhimu yenye thamani kuitilia maanani ni matokeo ya ukadiani kwa idadi ya wenyeji kwenye nchi mbalimbali (Kwa mfano Ulaya) siyo muhimu sana. Napinga juu ya kiongozi wa makadiani kuchapisha orodha ya Waingereza au Wadenishi au Waswedeni weupe walio wakristo waliokubali ukadiani. Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba unaweza kuwahesabu kwa namba idadi ya waislam kila mahali ndilo lengo lao la mauaji. Inashangaza kuwa kila mwaka mamia ya maelfu ya watu huingia kwenye kundi la Ahmadiyya na bado haijaonekana idadi ya wangapi ambao huachana na jamati bahati mbaya kaka zetu katika uhamadiyya hawaoni umuhimu wa kuonyesha ukweli huu ueleweke, au labda kwa kuwa walikwisha ogopeshwa hata hivyo Allah alimpa kaka Uislamu ujasiri wa kuunganisha uzoefu wake kwetu sisi katika taratibu hizi.
 

KUTOROKA KUTOKA RABWA
Septemba 1995

Nilizaliwa England ya ukatoliki na wazazi wa kiislamu na nilihamasika juu ya ulinanishaji wa didni katika miaka yangu ya mwanzo ya ishirini baada ya safari ya Morocco na mwaka kuutumia India nilivutiwa zaidi na uislamu maendeleo ya kuukubali kuuamini ilibidi nihitaji kujiunga na waislamu katika muda niliokaa Capenhagen, Denmark mtazamo wangu wa haraka kwenye mwongozo wa simu ulionyesha msikiti mmoja tu “Misheni ya kiislam ya Ahmadiyya” kupitia hapo niligundua kuwa waturuki, wamoroko na maeneo ambayo yalitumika kama miskiti. Hii iliimanisha kwamba kila shule au chuo kilihitaji kuchukua kutoka msikiti waliwapata waislam wa misheni ya Ahamadiyya na ilifanyika hivyo kwa aliyebadilishwa kama mimi. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kuhesabu uzuri wa Ahmadiyya ambao leo unajitangaza kwenye Television ya satilaiti na nyakati mbalimbali kwenye lugha nilikaribishwa na waendao msikitini ambao walikuwa ni mchanganyiko wa wapakistani na Wadenishi waliobadilishwa dini pamoja na wanamuziki wa Kimarekani sahib Shihaab amabaye alikuwa amejulikana Sana kwenye ulimwengu wa muziki wa jazi. Nilikuwa nafanya kazi kama mwanamuziki mimi mwenyewe japokuwa sikuwa nimeungana nao, walinifunza kusali na kunipa vitabu vingi vya kusoma pamoja na kamusi ya tafsiri ya kiingereza katika Qurran iliyoandikwa Muhammad Zafarulla Khan ambayo ilinivutia sana tafsiri ya awali niliyokuwa nayo ilitolewa na maadi za uislam George Sale. Baada ya miezi sita ya ibada ya Ijumaa na makadiani wa Copenhagen, nilikwenda Denmark ili nirudi England. Huko Birming ni katika ufuatiliaji wangu niligundua jumuiya ya Ahmadiyya ambao walikuwa na upungufu wa maendalizi umakini na hekima kuliko Copenhagen kwenye msikiti walikuwa na utaratibu wao wa pekee wa kubanana kiasi kwamba waumini waliokuja kufanya ibada walichanganywa na mpangilio huo. Nilianza kwenda msikiti mkuu wa Birmingham. Hapa niliwakuta wajamaika wengi wenye uzoefu kama huo. Walijuiunga na harakati za Ahmadiyya pia wakidhani kuwa wao ni waislam lakini kumbe ndio walikuwa wakianza kuvutiwa na uislam baada ya kugundua ukweli.

Hii ilikuwa mara ya yangu ya kwanza kwa mtu kunifafanulia tofauti iliyopo kati ya Ahmadiyya na uislam hata hivyo sikuwa na uhakika.

Matembezi yangu huko msikitini Birmingham yalisalimiwa na vilio vya makadiani ambao walikuwa na mahusiano na mimi nilielezwa kuwa ukweli kuwa ibada ya haingekubalika Ahamadiyya waliniarifu kuwa wao ndio waislam pekee wa kweli na ndilo kundi pekee lililokubalika na watu wa magharibi kutokana na upeo wao wa kawaida.

Tofauti pekee ipo kwenye ibada ya kaburini ujinga wa Barelvis kwa upande mmoja na wenye msimamo wa kutupa mabomu ni kweli kuwa ni mstari ambao unafanya kazi na watu wenye akili duni. Ilikuwa ni katika wakati huu ambapo ni rafiki wa karibu wa mirza Ghulam kwa ajili alielezea kwangu mimi kwa ajili ya kiislam niliisaini japokuwa umeingia kwako kwani hata taratibu zangu za kimuziki zilibadilika zaidi kuliko kama ningekuwa nimepata ulevi.

Katika Decemba ya 1981 kiongozi mkuu mmoja wa makadiani huko London Mbarak. Ahmad aliniita na kunipa tiketi ya karachi akinieleza mimi nihudhurie jalsa salama huko Rabwa nilishika njia yangu kwenda Rabwa kupitia karachi na Lahore na kukutana na wajumbe wa kundi zima kutoka kote ulimwenguni, hata mwarabu mmoja au wawili. Nilitumia muda wangu na makadiani wawili wazungu Mjerumani alikuwa Ahmad na mwingereza kwa jina la Luqman wote walioa wanawake wa klikadiani na walikuwa tayari wamekwisha kamatwa barabara bahati kwangu mimi nilikuwa tayari nimekwisha oa na hivyo nilikuwa nimeiepuka fitna hii.

Hata hivyo ilikuwa imependekezwa kwangu mimi kwamba pamoja na kuwa mke wangu alikuwa katika njia ya dini yangu ni lazima nimwache na nitapata msichana mzuri wa kikadiani. Nilipata naye watoto mabinti watatu na sikuwa na haja ya kuwaacha.

Nilipendezwa na vitabu vya Mohammed Zafarulla ambavyo vilikuwa vya uislam kweli ambapo “Ahadi za Masiah zilihifadhiwa kutokana na kumbukumbu za tafsiri ya riadh. Kama swalihina” zilikuwa na kingereza kizuri kilichotumika na kama nilivyozijua, nilizikubali.

Japokuwa vilikuwa vitabu vya Masiah aliyeahidiwa, Mirza Ghulam Ahmad, alitafsiri katika kiingereza, vilinivuruga mimi. Kuna ufunuo mmoja maalum ambao Masiah aliyeahidiwa aliuona kwenye ndoto kuwa kuna mti wenye ndege weupe juu yake. Baadaye aliisikia sauti ikisema (kwa kiingereza) “Nitakupa Jumuiya kubwa ya uislam”.

Nashangaa jinsi Mungu anavyotoa ufunuo wa Quran katika hamasa na uzuri usio kuwa na makosa katika kiarabu kushindwa kutunga sentensi za kisarufi kwa kiingereza.

Nilikuwa nakumbusha ufunuo huu wakati nilipokuwa Rabwa. Sisi wazungu watatu tuliwekwa kuonyeshwa kwa wengine kama ndege weupe wa ufunuo kwa ajili nilikutana na watu wakubwa wote wa ukoo wa Ahamadi. Niliwatambua wao wote walikuwa wepesi sana katika udanganyifu wenye kuaminika. Niligundua udhaifu katika tabia zao za kuwaelimisha vijana wao katika mafunzo ya makadiani wakulima wadogo wadogo kuzunguka Rabwa kama vile kuwapeleka Moscow au Romania kwenye elimu ay gharama rahisi.

Baada ya Jalsa nililazimika nilikwenda kuzuru kaburi la Mirza Ghulam Ahmad huko Qadian kama sehemu ay mahitaji ya dini. Niliwakuta watu pale wakiwa wadhaifu na wenye tabia ya kuugua ugua na walikuwa wamefurahi kutoka nje ya eneo lile. Kama nilivyotaja sisi ndege weupe watatu tulikutana na Mirza Nasir Ahmad, ambaye alikuwa Khalifa wa pili pamoja na mpiga picha ambaye siku zote alikuwa yuko anye ambaye aliruka kuchukua picha mara tu atakaposhikana mkono naye. Nilionana na kiongozi wa awali, Mirza Tahir Ahmad ambaye alitupa mazungumzo juu ya kila kitu magharibi kilivyokuwa cha ajabu na kweli wa kiroho, na jinsi magharibi walivyoiangalia Rabwa kwa ajili ya mwongozo wa kujikuza ukweli wa kiroho.

Nilifikiri kama utabiri ulikuwa na msukumo mkubwa wenye kufanikisha harakati za ujumbe wa Allah, Muhammad, katika kiwango cha juu kabisa ya mchoko wa muda mfupi fedha ziliwafanya wapakistan wajaribu kuwaongoza wafuasi wao kukamilisha kuwawasilisha wamagharibi (maadui wa uislam)?

Inaonekana ni kinyume kwangu mimi, wale wote ambao nilikutana nao wana mahusiano na moja ya aina hizi mbili.
WAJINGA, ambao hawana wazo la kuwaendea wao na
Wakorofi wale ambao walikuwa wako tayari kwa ajili ya kutokuwa na huruma kwa jina la uislam walikuwa imara wakijihusisha na Jamati zao. Kwa vyovyote vile, nilikuwa nimekwihsaelewa siri na kuiweka sawa akili yangu kuweza kuwakabili haraka iwezekanavyo. Niliporudi England niliacha mambo yote – Ibada, kusoma na kila kitu na kwa muda wa miaka miwili na nusu niliondoa wazo la kuwa muislam kichwani mwangu.
Nilifikia uamuzi kwamba kama Uahmadiyya ulikuwa wa kweli, basi uislam haukuwa kwa ajili yangu.

UAMUZI

Niliacha shughuli za muziki na kuazima shamba kule Ireland, kwa miaka kadhaa niliwaza kuhusu uislam kwa vipindi fulani tu. Kwa uwezo wa Allah nilikutana na Jumuiya za waislam kule Dublin na mke wangu na mimi tulikumbatia uislam tulikumbatia uislam katika mwaka 1984 kule kwenye msikiti wa Dublin.


Kaka Usman Barry anafanya kazi kama mwana Daawa (msambazaji) katika uislam kwenye kituo cha Habari za kiislam, ambapo alikuwa na wajibu wa kuhubiria waislam wapya waliojiunga.

Usman Barry

Kituo cha Habari za kiislam,
S.L.P 5732
Dubai – Jumuiya za Falme za Kiarabu

NEWS FLASH:

Heilbronn, Germany 3 Desemba, 1995
Wabosnia Wawili wakimbizi waliuelezea ubaya wa uhamadiyya na kuukumbatia uislam kule Dusseldorf 14 Novemba, 95.
17 Novemba 95 Ghulam Hussein mwana wa Mushtaq Ahmad Rajput wa chowinda, sialkot, aliuacha uhamadiyya na kujiunga na uislam kule ludeinschdie. Bwana Nassir Cheema Kadiani Muballigh katik a mji huu wenye hoja

Tembelea kituo chetu kwenye mtandao: