Bismillah Al-Rehman Al-Raheem
SHUKURANI ZOTE ANASITAHILI ALLAH, REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE AMBAYE BAADA YAKE HAKUNA MTUME.
Anti Ahmadiyya Movement in Islam

JUMUIA YA AHMADIYYA
1894 – 1994
MIAKA 100 YA UDANGANYIFU USIO NA AIBU

JIHADHARI NA UBAYA WA KUNDI LA AHMADIYYA DHIDI YA UISLAM.

Ndugu mpenzi katika Uislam!

Tunapenda kukutahadharisha na ubaya ulio hatari sana unaokufikia mlangoni kwako wanaojidai kuwa ni waislamu. Watu hawa wenye mipango mizuri wanawapoteza waislamu wa kawaida wasiojua uislamu vyema na kuwaelekeza kwenye Johanam.

Mirza Ghulam Ahmad wa Kadiani alidai kuwa yeye ni mtume, masihi na Al mahdi. Yeye na kundi lake la Ahmadiyya – wamekwishapigwa marufuku kuwa ni makafiri, wasioamini na waislamu wa mataifa yote duniani.

Ifuatayo ni orodha ya mambo aliyoyaamini Mirza Ghulam Ahmad Kadian, mwanzilishi wa kundi hili yamechukuliwa kutoka vitabu vyake mwenyewe:

Ee ndugu Muislamu!
Huu ndio sura halisi ya Mirza Ghulam Qadiani, mwanzilishi wa jumuia ya Ahmadiyya, yeye na wafuasi wake ni watumishi watiifu wa waingereza na mayahudi.Leo bado wanawatimikia mabwana wao. Kwa vile sote tu makafiri na wanaharamu katika macho ya makadiani, wanahifadhi maslahi ya watu wa ulaya kwa kutufanyia ujasusi.

Makao yao makuu yako London, na kutoka hapo, huwatumia mawakala wao kwa sura ya wahubiri (wa kiislsmu), kwenda nchi mbalimbali duniani. Wamewakusudia waislamu wa kawaida katika Afrika, Ulaya, na Marekani na kwa waislamu wa katikati mwa nchi za Asia. Hujifanya kuwa mabingwa wa uislamu, na hugawa vitabu vyao bure, hutoa fedha na vichocheo vinginevyo ili kuwanasa waislamu wasio hatia.

Ya Allah tulinde sote na udanganyifu wa Ukadiani/Ahmadiyya dhidi ya Uislamu.

Kwa maelezo zaidi wasiliani na:

Anti-Ahmadiyya movement in Islam
Dr. Syed Rashid Ali
P.O.box 11560
Dibba AlFujairah
United Arab Emirates
Fax:(9719) 244 2846


Homepage
Email: webmaster@alhafeez.org
Swahili Page